Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, June 17, 2015

BOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA DAR ES SALAAM


Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.


Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki moja.


Ofisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.


Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema (kushoto), akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la MSD.


Vifaa tiba vikioneshwa katika banda hilo.


Muonekano wa banda la MSD katika maonyesho hayo.


Na Dotto Mwaibale

No comments:

Post a Comment