Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, June 13, 2015

Mpate Dj Haazu Live katika Positive Mood Radio 5 Arusha

Inline image 1


By @djhaazu It's Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event Organizer and IT Tech kwa Maamuzi yangu Mwenyewe bila kushinikizwa na Mtu. Ahsanteni wasikilizaji wangu, Wasanii wote tuloshirikiana na Ahsante kwa Management na Wafanyakazi wote wa MJ FM Tutazidi kushirikiana Inshaalah.
NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea.

No comments:

Post a Comment