Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, July 25, 2015

KAMA WEWE NI MPENZI WA MAGARI BASI KARIBU UCHEKI SHOW HII MPYA

http://darkroom.baltimoresun.com/wp-content/uploads/2013/09/REU-AUTOSHOW-FRANKFURT-20-760x521.jpg

Je unafikiri magari ya bongo yana akili?
Tanzania motor show ni kipindi kitakacho kufahamisha wewe mtanzania unaejua na usiejua vitu kuhusu magari na sifa zake mbalimbali na uwezo wake katika barabara zetu. Lakini sio hicho tuu utaweza kumuona staa umpendae akiwa ana piga round kwenye gari flani amazing sanaa na kuona uwezo wake ukoje katika masuala ya uskani. Ni bonge la show flan amazing.
No comments:

Post a Comment