Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Profesa Choi Oe
Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya Jamhuri ya Korea, Wakati
Rais huyo na Ujumbe wake alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es
Salaam Leo March 08,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia juu
ya kukuza na kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo katika Nyanja mbalimbali
ikiwemo Uchumi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea ratiba ya mpango wa
maendeleo wa Jumuiya ya GLOBAL SAEMAUL UNDONG kutoka
kwa Profesa Choi Oe Chool Rais wa GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK ya
Jamhuri ya Korea, Wakati Rais huyo na Ujumbe wake walipofika Ofisini kwa Makamu
wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi
hao wamezungumzia juu ya kukuza na kuendeleza ushirikiano wa kimaendeleo katika
Nyanja mbalimbali ikiwemo Uchumi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Ujumbe wa Uwekezaji katika Nyanja wa Viwanda vya Sukari
kutoka Kampuni ya RAK INTERNATIONAL LTD ya India, Wakati Ujumbe huo
ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam Leo March
08,2016, kwa lengo la kutaka kuwekeza Viwanda vya Sukari hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya GLOBAL SAEMAUL DEVOLOPMENT NETWORK
ya Jamhuri ya Korea, Wakati Ujumbe huo ulipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais
Ikulu Dar es Salaam Leo March 08,2016,
Source: mrokim
No comments:
Post a Comment