Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, April 11, 2016

TAARIFA YA WATUMISHI HEWA MKOANI SHINYANGA YAMPONZA ANNE KILANGO MALECELA

Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela kwa kutoa taarifa za uongo juu ya mkoa wake kutokua na watumishi hewa. 

Rais Magufuli, ametangaza uamuzi huo hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Anne Kilango ni miongoni mwa wakuu wapya wa mikoa walioteuliwa hivi karibuni.
Mbali na Mkuu huyo wa Mkoa  pia mkasi huo umemkumba Katibu Tawala wa mkoa huo, Abdul Dachi.
 
Chanzo: Mroki

No comments:

Post a Comment