Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa muhtasari Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ambaye ameongoza wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya Bajeti bandari ya Dar es salaam kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini iliyokuwa imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26, 2017
Sehemu ya makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini ambayo imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali.
Sehemu ya wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na
Madini pamoja na Kamati ya Bajeti wakitembelea bandari ya Dar es salaam
kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini ambayo
imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo Machi 26,
2017.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
Mhandisi Deusdedit Kakoko akimpa maelezo Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na wajumbe wa Kamati za kudumu za
Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya Bajeti bandari ya Dar es
salaam juu ya makontena yenye shehena ya mchanga kutoka migodini
iliyokuwa imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali leo
Machi 26, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akiwa na wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Nishati na Madini
pamoja na Kamati ya Bajeti akiongea na wanahabari katika bandari ya Dar
es salaam baada ya kujionea makontena yenye shehena ya mchanga kutoka
migodini ambayo imezuiwa kusafirishwa nje ya nchi kwa agizo la serikali
leo Machi 26, 2017.
Source: Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment