Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, March 26, 2017

Jeshi la Polisi Morogoro latoa sababu kukamatwa kwa Msanii Bongo Flava Nay wa Mitego

Image may contain: 1 person, closeup
Msanii wa Bongo Flava Nay wa Mitego.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro, Kamanda Ulrich Matei amethibitisha kukamatwa kwa msanii Nay wa Mitego usiku wa kuamkia leo huko Mvomero, mkoani Morogoro.

Kamanda Ulrich Matei ametoa sababu kubwa ya kukamatwa kwa msanii huyo ni kutokana na wimbo wake mpya unaofahamika kwa jina la Wapo ambao kuna maneno yanayodaiwa kuwakashifu viongozi wa serikali iliyopo maradakani.

Kamanda Matei amesema shauri la Nay wa Mitego lipo jijini Dar es Salaam hivyo msanii huyo atasafirishwa na kupelekwa jijini Dar es Salaam kuhojiwa kwa Mkuu wa Upelelezi wa mkoa.

No comments:

Post a Comment