Hatimaye mmoja wa
wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi kutoka Afrika, Kolo Toure
wa Manchester City ameisaliti rasmi kambi ya makapela.
Defender huyo raia wa Ivory Coast amemuona mpenzi wake wa
muda mrefu Chimene Akassou, wiki
iliyopita June 14 huko Abidjan.
Kolo na Chimene wameishi
kwa zaidi ya mwaka mmoja pamoja na wana watoto wawilim Sania wa kike na Yiassin
wa kiume.
Ndoa ya imefungwa wkenye msikiti katika mji mkuu wan chi hiyo,
Abidjan.
Kaka yake Yaya Toure wa Manchester City naye alikuwepo kumpa shavu ndugu yake.
You may kiss the bride |
Walipendeza |
Bonge la harusi |
Walishow love kwa raia |
Mlima wa keki |
Smile |
Fally Ipupa alikuwepo pia |
Ulinzi wa kutosha |
Machozi ya furaha |
Bado haamini kama siku imefika |
Yaya Toure |
No comments:
Post a Comment