NYUMBA YA WEMA ZENGWE!!!
ILIANZA chinichini kuwa fedha imemtembelea Wema Isaac Sepetu
akithibitisha kumiliki nyumba ambayo ndani yake ina mazagazaga
yanayoifanya kuwa na thamani ya Sh. milioni 400 lakini nyuma ya stori
hiyo kuna zengwe, shuka na Ijumaa upate ‘udambwidambwi’ kamili.
KIJITONYAMA, DAR
Kwa mujibu wa chanzo kisicho na shaka ambacho ni mmoja wa mashosti wa Wema, nyumba hiyo anayotarajia kuhamia hivi karibuni ipo Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

MADAI MABICHI
Kikifichua mambo mazito nyuma ya pazia, chanzo hicho kilidai kuwa watu wanaoijua ishu hiyo kiundani walipigwa na butwaa waliposikia Wema anamiliki mjengo huo wa kifahari huku wao wakielewa vingine.
“Ninavyojua ile nyumba siyo yake bali amepanga tu,” kilidai chanzo hicho na kuongeza:
“Aisee! Nimeshangaa kusikia Wema kanunua lile jumba wakati mchakato wa kwanza wakiwa na madalali walikuwa wakitafuta nyumba ya kupanga.
“Kusema kweli jambo lililonishangaza ni kuwa mpaka mchakato wa mwisho unafanyika kuhusiana na nyumba hiyo ni kwamba Wema alikuwa anaipangisha na siyo kuinunua.”

SIKIA HILI JIPYAAA
Wakati tukisikiasikia hayo, tukaletewa lingine jipya na sosi mwingine kuwa Wema alipewa jumba hilo lililokuwa likimilikiwa na mama Ngoma ili amalizie kurekodi filamu yake mpya ya The Superstar.
“Si mnakumbuka alivyofanya juzikati kwa kuvishwa pete ya uchumba na Mwinyi wa Machozi kumbe alikuwa anarekodi filamu, ndiyo hivyohivyo kwa hili jumba, kama hamuamini mtaona baadaye.
“Wewe angali vizuri hizo picha, ni za filamu kabisa kwani kipande cha hiyo muvi kinamtaka aonekane akiishi maisha ya kistaa sana. Wewe nyumba gani umetenga mpaka chumba cha kuzungumza na vyombo vya habari?” alihoji sosi huyo.

UTATA
Wakati mambo yakizidi kuwa mengi, kikaibuka chanzo kingine kikidai kuwa si kweli kwamba mjengo huo unamilikiwa na mama Ngoma bali ni ya Mwarabu fulani.
Baada ya kuambiwa vitu kibao kuhusu jumba hilo, Ijumaa lilianza kusaka ukweli ili kujibu maswali ya mashabiki wa Wema.

ENDELEA KUSOMA HAPA:http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/nyumba-ya-wema-zengwe
No comments:
Post a Comment