Serikali imejipanga kupeleka miundombinu ya usafiri katika mikoa ya Rukwa na Katavi ilikuiwezesha kusafirisha mazao katika mikoa mbalimbali ikiwemo mikoa ya kanda ya ziwa.
Waziri mkuu mizengo pinda amesema hayo leo wakatika akijibu maswali mbalimbali bungeni mjini dodoma.
Imeelezwa kuwa mkoa wa rukwa unazalisha zaidi ya tani laki mbili ishirini na tisa elfu za chakula, ambacho kiasi kingine uharibika kutokana kukosa usafiri kuelekea katika masoko mbalimbali.
No comments:
Post a Comment