Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, June 29, 2012

WEMA, OMOTOLA WASHINDANISHA MAKALIO...!


Wema Sepetu (kushoto) wakati akimpokea mgeni wake ambaye ni mwigizaji na mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.

Na Imeda Mtema
STAA asiyeishiwa vituko, Wema Sepetu na mgeni wake kutoka Nigeria ambaye ni msanii, Omotola Jelade juzikati walitoa kali baada ya kushindanisha ukubwa wa makalio yao.
Tukio hilo lililowavutia wengi lilichukua nafasi kwenye Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa filamu ya Wema iitwayo Super Star.
Wakati wakishuka ngazi zilizopo kwenye hoteli hiyo, Omotola alionesha kuvutiwa na umbile la Wema ambapo alisema anahisi mwenzake huyo ana ‘inye’ kubwa kuliko yake.
Baada ya Omotola kusema hivyo, Wema alionekana kutaka kupinga lakini kabla ya kufanya hivyo, Omotola alisimama sambamba na mwenyeji wake huyo kwa lengo la kuangalia nani zaidi na mjadala uliishi kwa Wema kuonekana alimfunika super star huyo wa filamu kutoka Nigeria.

No comments:

Post a Comment