Msanii wa Muziki wa kizazi kipya
Diamond akiimba kwa madaha wakati wa Tamasha la”WAJANJA ”Lililofanyika
jana katika uwanja wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika
katika mikoa mitatu hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili
ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni wa Vodacom kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa
shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na
twitter bure.
Msanii Mkongwe wa Muziki wa kizazi
kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana wakati wa
tamasha la”WAJANJA” linaendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo
litafanyika katika mkoa wa Tanga minne likiwa na lengo la kuwaelimisha
wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi
na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na
kutumia facebook na twitter bure.
Mwamba wa Kaskazini Joh Makini
akiwapagawisha wakazi wa Mtwara katika uwanja wa Nang’wani mkoani humo
wakati wa Tamasha la”WAJANJA wa Vodacom”lililofanyika hapo jana mkoani
humo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia huduma za mtandao
huo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwenda mtandao wowote
kwa shilingi ishirini na tano na kutumia twitter na facebook bure.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya
Diamond akicheza vilivyo wakati wa Tamasha la”WAJANJA” Lililofanyika
jana katika uwanja wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika
katika mikoa mitatu hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga Jumapili
ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa
kampuni ya Vodacom kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa
shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na
twitter bure.
Msanii Mahiri wa Muziki wa kizazi
kipya Nay wa Mitego akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Mtwara hapo jana
katika uwanja wa Nang’wanda mkoani humo wakati wa Tamasha la”WAJANJA”
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa
mitatu jumapili hii litafanyika katika mkoa wa Tanga likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Umati wa wakazi wa Mtwara
waliomiminika katika uwanja wa Nang’wanda kushuhudia Tamasha
la”WAJANJA”hapo jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika Mkoani Tanga likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Baadhi ya watoto wa Mkoa wa Mtwara
wakionyesha vipaji vyao vya kucheza kiduku wakati wa tamasha
la”WAJANJA”hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea kufanyika katika mkoa wa
Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia
mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe
kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook
na twitter bure.
Msanii wa kizazi kipya Shetta kushoto
sambamba na Papaa wakiwapagawisha wakazi wa Mtwara hapo jana katika
uwanja wa Nangw’anda kwenye Tamasha la “Wajanja”liloandaliwa na Vodacom
Tanzania likiwa na lengo la kuwaelimisha awananchi kutumia mtandao huo
kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na
tano kwenda mtandao wowote na kuperuzi facebook na twitter bure.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na
Mahusiano, Joseline Kamuhanda (katika) akiwa amepozi kwa picha na wadau
katika tamasha la”Wajanja wa Vodacom” Lililofanyika jana katika uwanja
wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu
hapa nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na
lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na
tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment