JOSE CHAMELEONE
Muimbaji
chameleon kutoka Uganda ni mwizi sana .Hapa Uingereza amesha
tapeli watu kishenzi staili hio hio na maneja wake. Ni mchezo
wake.Akirudi hapa UK anaweza kupigwa mawe.Bangi zina msumbua
tuu.Yeye ninani mtu amabe hawezi kumuheshimu mwakilishi wa Rais
wetu Uganda -Balozi wetu pale kampala.Nashanga serikali ya
Uganda wamemsikiliza na kuifanya hii ishu itake kuharibu
uhusiano mkubwa kati ya nchi hizi mbili.Hivyo chameleone
mnamjua ? juzi kawa muislam kesho yake karutadi tena .Bangi
haziwezi zina mpelekesha. Anafaa kua jela maana ni msani
jambazi.Huko kampala na sikia wamesha rushiana risasi na msani
Bobby wine. Naomba watanzania wote tumzomeye chameleon na
asirudi tanzania tena kwa tabia yake tena . Hon membe tunaomba
hili ulifanyie kazi kwamba wageni hawezi kuja na wakatu abuse
hata nyumbani kwetu. Bwana Erik nawe usije uka shika pasport
ya mtu ni document ya serikali wala sio mtu binafsi
Ahsante
No comments:
Post a Comment