Japhet Lufunga
MAWAZO YA MDAU KUHUSU MGOMO WA WALIMU!
Shule zinafungwa tarehe 3, August ( primary na secondary), sasa huo
mgomo una nguvu gani/ yaani hauna madhara kwa serikali hata kidogo. rais
wa chama cha walimu ni kilaza kwa sababu hajui timed reinforcement/
appropriate time kufanya mgomo.
Walimu wote wanaenda kuhesabu
sensa kuanzia tarehe 06. August kwa kuhudhuria semina elekezi, sasa
ataiathiri vipi serikali ili iweze kumtimizia madai yake.
NB: Naomba mfahamu kuwa viongozi wa CWT wapo kimaslahi zaidi/binafsi na sio kuwatetea walimu.
*Wakufunzi wote wa vyuo vya ualimu wameshastukia hilo, hawaungi mkono
mgomo, na wapo mbioni kujitoa CWT ili kuanzisha chama chao ambacho
kitakuwa na nguvu kudai haki zao kuliko ilivyo sasa kuburuzwa na CWT.
Habari ndio hiyo.
Shule zinafungwa tarehe 3, August ( primary na secondary), sasa huo mgomo una nguvu gani/ yaani hauna madhara kwa serikali hata kidogo. rais wa chama cha walimu ni kilaza kwa sababu hajui timed reinforcement/ appropriate time kufanya mgomo.
Walimu wote wanaenda kuhesabu sensa kuanzia tarehe 06. August kwa kuhudhuria semina elekezi, sasa ataiathiri vipi serikali ili iweze kumtimizia madai yake.
NB: Naomba mfahamu kuwa viongozi wa CWT wapo kimaslahi zaidi/binafsi na sio kuwatetea walimu.
Habari ndio hiyo.
No comments:
Post a Comment