Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, October 18, 2012

BANGI KUMPANDISHA WEMA MAHAKAMANI ...!

YALE madai ya kukutwa na bangi yanayowabili staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na ‘bodigadi’ wake wa sasa, Jamilah Msafiri yanaweza kuwapandisha wawili hao kizimbani wakati wowote kuanzia sasa, Mwandishi Wetu anakupasha.
Akiipasha safu hii, mmoja wa maofisa katika jeshi la polisi ambaye ‘aliamuru’ jina lake lisiwekwe hadharani, alisema itashangaza kama kesi hiyo itafutwa juu kwa juu kwani watuhumiwa walikutwa na vidhibiti.
Septemba 28, mwaka huu, Wema na ‘bodigadi’ wake huyo walikutwa na misokoto ya bangi na kuwekwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar na kufunguliwa kesi yenye Kumbukumbu KJN/RB/7922/2012; KUPATIKANA NA BANGI.
chanzo:http://www.globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment