Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, December 10, 2012

GENTRIEZ MSANII WA HIP POP KUTOKA ARUSHA AMBAYE KWA SASA ANAFANYA VIZURI SANA...!

Gentriez mwakitabu

Gentriez mwakitabu wengi wanamfaham kama arusha boy.. Msanii kutoka kundi la river camp soldiers la jijini Arusha. yupo chini ya record label ya wanene entertainment inayomilikiwa na Dash pandit. Gentriez ni msani chipukizi lakini yuko kwenye pick ya juu sana right now. Baada ya kukimbiza sana na video yake ya Arusha Boy na kumpa umaarufu na kuingiza mkwanja wa kutosha kutokana na kuuza sana tishirt za logo yake ya Arusha Boy na Arusha Girl na kupiga shows kibao na sasa amerudi tena na video yake mpya inayoitwa |"Mwanzo mwisho" iliyosimamiwa na mtoto wa nabii geo dev nisher.. Pia kwa upande wa radio amerudi vizuri sana na ngoma yake kali inayoitwa bembeleza aliyomshirikisha mwanadada Ailer.. Hii imekua kawaida yake.. Kila anapo drop video basi na radioni anadrop mzigo mpya.. Historia yake kiufupi... Alianza harakati za mziki 2003 na mpaka sasa ana album moja na mixtape moja.. Album yake inaitwa "Chumba cha mthihani" aliyoifanya chini ya record label yake ya wanene entertainment. Pia mwaka huu anatarajia kudrop mixtape yake itakayokua inaitwa "Arusha boy". Mpaka sasa ana track kama, nina kila sababu aliyoifanya na chalii mtoo wa bibi, gheto aliyomshirikisha bou nako, hard mad na worious from the east, stronger feat veejay, nisher& t nako, baki na mimi feat g nako & the artist msanii kutoka record label yake ya wanene entertainment ambae pia anaishi marekani, cheni ndefu feat nisher, mwenyeji wako feat belle 9 na nyingine nyingi... Unaweza kuskiliza na kudownload bure nyimbo zake kupitia www.East african tunes then unaserach gentriez mwakitabu
or www.reverbnation.com/gentriezmwakitabu or www.hulkshare.com/gentriez

No comments:

Post a Comment