Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, December 11, 2012

HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA MSANII ROMA SIKU MOJA KABLA YA SIKU YAKE YA KUZALIWA 12/12/12...!

        Ikiwa imebaki siku moja tu kabla ya mkali wa Hip pop nchini Tanzania ambaye anatokea Tanga ila kwa sasa maskani yake ni jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Roma Mkatoliki, aliamua kuweka wazi fuaha aliyonayo na kuahidi kukata kiu ya mashabiki wake kwa kuachia ngoma kali kuliko zote alizowai kuziachia itakayokwenda kwa jina la "2030" 
Na hichi ndicho alichokiandika kwenye page yake ya fcebook

 Roma Tongwe
shughuli imeisha!!!
jumatano 12/12/2012 birth day ya ROMA!!!
siku tuliyokuwa tunaingoja kwa HAMU sana kusikia THE RETURN OF THE NINJA!!!
narelease track yangu mpya baada ya MATHEMATIX!!! nayo itaitwa"2030"
sijawahi kufanya ngoma kali kama hii TRUST MI!!! ni zaidi ya zote ulizowahi kuzisikia...now naelekea TANGA NYUMBANI KWA WAGOSI NA NITAANZIA KUIRELEASE NYUMBANI TANGA...
.EEE MUNGU NIPE UZIMA!!!!

No comments:

Post a Comment