Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, May 19, 2013

TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA KINYANG'ANYIRO CHA KUMSAKA MISS MOSHI 2013...!

 Hawa ndio washiriki kumi na tano walioshiriki katika shindano la Redds Miss Moshi 2013.

 
Mgeni rasmi katika shindano la Redds Miss Moshi 2013.

 Washiriki wakiwa katika show ya kufungua shindano la Redds Miss Moshi 2013.

 Hawa ni majaji wakiwa makini kuangalia washiriki wa shindano la Redds Miss Moshi 2013 wanachokifanya jukwaani.

 
 Hawa ndio washiriki wa shindano la Redds Miss Moshi 2013 waliofanikiwa kuinhia kwenye tano bora.

 Hawa ni baadhi ya wadau na mashabiki wanaopenda sanaa ya urembo wakishuhudia mtanange wa kumsaka shindano la Redds Miss Moshi 2013.
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akitumbuiza katika shindano la Redds Miss Moshi 2013 lililofanyika katika ukumbi wa Aventure Africa.

Babi D'e Conscious ndio alikua msema chochote katika shindano la Redds Miss Moshi 2013.






No comments:

Post a Comment