#CloudsFM
#SA Taarifa tulizopewa jana mchana ktk mochwari ya Hillbrow hapa
Johannesburg, mwili wa Ngwea utafanyiwa uchunguzi leo hivyo majibu
yatatoka leo au kesho... shea post hii na wengine waone mtu wangu
kuepuka habari nyingine zinazovuruga watu.
No comments:
Post a Comment