Katika hali isiyo ya kawaida leo hii mapema Bungeni Hotuba ya Kambi
Rasmi ya Upinzani imesitishwa baada ya hotuba hiyo kuwataja chama cha
CUF kwamba
wanamahusiano na chama kinachosapoti Usagaji pamoja na Ushoga hivo nao kuwahusisha katika mambo hayo.
Mbunge wa CUF alisimama na kuomba muongozo juu ya jambo hilo kutokana na kanuni ya 68 ya sheria na miongozo ya Bunge.Suala hilo lilizua kizaazaa na kusbabishwa bunge kuahirishwa.

No comments:
Post a Comment