Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo
wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.

CHANZO : BONGO5.COM
No comments:
Post a Comment