BREAKING NEWS : Prof. Jay ajiunga CHADEMA
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Joseph Haule (Prof. Jay) amejiunga rasmi leo na chama cha CHADEMA.
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Joseph Haule (Prof. Jay) amejiunga rasmi leo na chama cha CHADEMA.
Hizo ni
baadhi ya picha zikimuonesha Prof. Jay akipokea kadi ya CHADEMA na
kujiunga rasmi na chama hicho au kuvaa gwanda kama wasemavyo wenyewe. — at Bungeni Dodoma.
No comments:
Post a Comment