Kesho
ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu
za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua
hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es Salaam. Hizi ni picha za jinsi maandalizi ya jukwaa
na ukumbi yalipofikia.
Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao
Sound check
Hivi ndivyo maandalizi yanavyoendelea
Muonekano wa nje ya ukumbi
Mafundi wakiziweka sawa cranes za camera
YOU MIGHT ALSO LIKE THISMafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao
Sound check
Hivi ndivyo maandalizi yanavyoendelea
Muonekano wa nje ya ukumbi
Mafundi wakiziweka sawa cranes za camera
No comments:
Post a Comment