Mwisho Mwampamba
mshiriki wa Big Brother ya kwanza kabisa baada ya kimya kingi chakuweka
makazi pande za Namibia yeye na familia yake, sasa hivi amerudi nyumbani
na amekuja kikazi zaidi na kuamua kufungua duka la toy za watoto lenye
kila kitu ambavyo mtoto atachezea. Duka hili lipo maeneo ya Sinza
Palestina linatizamana na msikiti mkuu.
No comments:
Post a Comment