Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, June 28, 2013

HIVI NDIVYO RAIS OBAMA ALIVYOTEMBELEA KISIWA CHA MAKUMBUSHO HUKO SENEGAL

  Rais wa Marekani Barack Obama na familia yake wakiwa kwenye boti wakielekea kwenye kisiwa cha Goree mbacho kilikuwa maafufu kwa uuzaji wa watumwa kwenye karine ya 17.



 Rais wa Marekani Barack Obama akiingia kwenye mji wa Goree 


Rais wa Marekani Barack Obama na First lady Michelle Obama wakipokea maua ya upendo baada ya kufika kwenye kisiwa cha Goree ambacho kiko nje kidogo na jiji la Dakar nchini Senegal
 







No comments:

Post a Comment