Kala Jeremiah akiwa na kundi lake ameanza safari kuelekea Morogoro
kupeleka tuzo kama alivyoahidi. Katika msafara huo anaambatana na
washkaji zake katika safari hiyo. #teamKINGJOFA itaendelea kukujuza
msafara mzima ikiwa ni pamoja na picha za matukio mbalimbali katika
shughuli hiyo
No comments:
Post a Comment