Hii ni kamati ya msiba wa marehemu Albert
Mangweha ikiongozwa na mwenyekiti wake Adam Juma akitoa maneno ya
shukrani kwa watu wote waliojitokeza katika viwanja vya Leaders Leo
Jumatano kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha. Na Baada ya kutoa
heshima ya mwisho mwili wa marehemu Albert Mangweha umesafrishwa
kupelekwa Morogoro kwa ajili ya maziko ambayo yatafanyika kesho Alhamisi
6/6/2013 huko Kionda Morogoro ambako ndio kwao aliko mama yake
mzazi..R.I.P Ngwair.
Pichani juu ni baadhi ya waombolezaji waliojitokeza katika
Viwanja vya Leaders kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu Albert
Mangweha
No comments:
Post a Comment