Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu
Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane, Umati mkubwa
umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya le.
Wakazi wa Morogoro wakishuka kwenye gari kwa
ajili ya mapokezi ya mwili wa Marehemu Albert Mangwea
Askari wa usalama barabarani wakifanya kazi yao
Mapokezi ya mwili wa marehemu Albert Mangwea eneo
la Mazibu Road Kihinda
Umati mkubwa ukiwa unaushuhudia mwili wa Marehemu
Albert Mangwea
Msanii wa muziki wa kizazi
kipya na filamu, KITALE, akisalimiana na mashabiki wake baada ya kuwasili
nyumbani kwa marehemu. Msanii huyu mchana alitoka kali ya mwaka kwenye viwanja
vya Leaders, baada ya kuibiwa simu na kumkamata mwizi wake na kisha kumpakia
kwenye gari na kutokomea nae kusikojulikana.
Msanii Afande Sele,
akiwapokea wageni waliowasili na msafara huo..
Wapenzi na mashabiki wa marehemu Albert Mangwea
wakiusindikiza mwili huku wakiimba nyimbo za uzuni
No comments:
Post a Comment