Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa 
katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu wakati wa 
kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha
 CHADEMA
Askali wa JWTZ wakikagua gari la matangazo la chama cha chadema ambalo lilipigwa risasi kwenye tenki la mafuta lengo likiwa lilipuke, katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu na mashambulio ya risasi wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbiametembelea wahanga wa mlipuko na shambulio la risasi vilivyotokea katika viwanja vya Soweto Arusha wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA

No comments:
Post a Comment