MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA..!
R.I.P Jafari Ally, (Mume wa Khadija Kopa)
Mume wa msanii wa muziki wa taarabu hapa nchini Khadija Kopa,
anayejulikana kwa jina la Jafari Ally, amefariki dunia usiku wa kuamkia
leo katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Endelea kufatilia http:kingjofa.blogspot.com/ kwa habari zaidi
Source:EA Radio na EATV
No comments:
Post a Comment