HAYO MAGARI YANAYOONEKANA HAPO NI MSAFARA ULIOKUWA PAMOJA NA GARI ILIYOPATA AJALI WALIKUWA WAKIELEKEA MAKABURI YA NJIRO KUZIKA
HUU NI UKINGO WA BARABARA YA ESAMI UKIWA UMETOKA BAADA YA AJALI HIYO
GARI AINA YA TOYOTA CORONA T 528 AJK IKIWA PEMBENI BAADA YA AJALI
WANAICHI WAKIJARIBU KUCHUNGULIA NDANI YA GARI IYO
WANAINCHI WAKIJARIBU KUISOGEZA PEMBENI GARI ILIYOPATA AJALI
MASHUHUDA WA AJALI HIYO ENEO LA TUKIO
HICHI NI KIOO CHA NYUMA CHA GARI HIYO
GARI AINA YA TOYOTA CARINA IKIWA KWENYE HALI MBAYA BAADA YA AJALI
No comments:
Post a Comment