GENTRIEZ MWAKITABU KUACHIA VIDEO MPYA YA ARUSHA BOY REMIX SIKU YA IJUMAA
Gentriez Mwakitabu maarufu kama Arusha Boy ameamua kutoa taarifa rasmi za ujio wa Music Video yake mpya ya wimbo wa "ARUSHA BOY REMIX" ambayo ameisifia na kusema itakua ni video kali na yenye ubora. Video hiyo inatarajiwa kutoka ijumaa tarehe 11/04/2014. Chini ya Ditector - Hanscana Lavenche.
"Tulionekana tunajaza mji tukabambikiwa kesi/
Eti tumembaka cha kubimbi na tukampiga bisisi/"..
Hiyo ni baadhi ya mistari kutoka kwa Arusha boy.
No comments:
Post a Comment