Hii ni barua iliyotoka kwa club ya YANGA kujibu barua ya Panone and Company Ltd. kwa kukubali kucheza mechi ya kirafiki na mabingwa wa mkoa wa Kilimanjaro katika ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa, Panone FC ya mjini Moshi, siku ya tarehe 15 April 2014 katika uwanja wa Ushirika.
No comments:
Post a Comment