Salaam, Natumai wote mu wazima kwa uwezo wa Mungu, napenda kutumia fursa
hii, kuweza ku release Wimbo wa kaka mkubwa ambaye ni
mmoja wa waasisi wa harakati za muziki wa Hip Hop Tanzania PROFESA JAY
akimshirikisha Diamond Platinum wimbo unakwenda kwa jina la "KIPI
SIJASIKIA"
Unaweza kuisikiliza au ku download hapa chini:
No comments:
Post a Comment