Victor msanii wa nyimbo za injili.
Msanii wa injili "Victor" toka Arusha anayefanya vyema katika category ya urban Gospel ana release wimbo wake mpya, alioupa jina la "Open My Heart" na kwa mawasiliano zaidi unaweza kumpata Victor kwa nambari +255 688 238 665.
unaweza kudownload au kusikiliza wimbo wa "Open My Heart"
No comments:
Post a Comment