Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, September 14, 2014

Shuhudia Alibaba Ramadhani alivyonyakua ubingwa wa Masumbwi wa UBO Afrika

Promota Andrew George akionesha mkanda unaogombaniwa kati ya Alibaba Ramadhani na  Alick Mwenda.

Patrick Ngiloi akisalimiana na Andew George kabla ya kuanza kwa pambano kati ya Alibaba Ramadhani na Alick Mwenda.

Mkuu wa wilaya ya Moshi akizungumza maneno machache kabla ya pambano kuanza.


 Baadhi ya watu waliokuja kushuhudia pambano kati ya Alibaba Ramadhani na Alick Mwenda.
 
 Pambano kati ya Alibaba Ramadhani na Alick Mwenda likiendelea.

Pambano kati ya Alibaba Ramadhani na Alick Mwenda likiendelea.


Alibaba Ramadhani akimshambulia Alick Mwenda kwa makonde mazito. 

 Patrick Ngiloi (katikati) akiwa anafuatilia mpambano wa ngumi kati ya Alibaba Ramadhani na Alick Mwenda


Alibaba Ramadhani akiwa amebebwa juu baada ya kutangazwa kuwa ndio bingwa mpya wa UBO Africa.


Alibaba akishikwa mkono na kunyooshwa juu ikiwa ni ishara kwamba yeye ndie mshindi na bingwa mpya wa UBO Africa.

Alibaba Ramadhani akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kutangazwa kuwa ndie bingwa wa UBO Afrika.

No comments:

Post a Comment