Djamal Dahou akiwa ulingoni na kocha wake pamoja na watu wengine muda mchache kabla ya pambano kuanza.
Promota Andrew George aliyeshika bendera ya Tanzania akiwa na kocha wa Djamal Dahou wakitambishiana kwa kupeperusha bendera kabla ya pambano kuanza.
Said Yazid akiwa amedondoka chini baada ya kuzidiwa na konde zito kutoka kwa Djamal Dahou.
Mpambano kati ya Djamal Dahou na Said Yazid unaendelea.
Djamal Dahou akiwa amemtupia konde zito Said Yazid konde ambalo lilimpeleka Said Yazid chini na kushindwa kuendelea na mpambano.
Said Yazid akijaribu kunyanyuka baada ya kuangushwa kwa konde zito kutoka kwa Djamal Dahou.
Djamal Dahou akiwa amenyanyuliwa juu na mjomba wake baada ya kushinda kwa KO (Knock Out)
Djamal Dahou akiwa na watu wake wakishangilia ushindi.
No comments:
Post a Comment