Esther Frederick ambaye ndio mshindi Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015 akiwapungia mkono muda mfupi baada ya kuvishwa taji.
Esther Frederick ambaye ndio mshindi Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015 akionesha kipaji chake cha kucheza mziki.
Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2013/2014 wakikumbatiana kwa furaha na mshindi wa Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015
Warembo wanne kati ya wale watano waliofanikiwa kuingia tano bora katika kumsaka Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015
Hawa ndio warembo waliofanikiwa kuingia kwenye tano bota ya Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015.
Masanja alikuwa mmoja kati ya majaji waliokuwa kwenye mchakato wa kumsaka mwanamitindo bora wa mkoa wa kilimanjaro 2014/2015 na hapa alikuwa akiwataja warembo watano waliofanikiwa kuingia tano bora.
Jaji kiongozi akiwa mbele ya jopo la majaji wengine pamoja na watu waliohudhuria kwenye mchakato wa kumsaka Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015 tayari kwa kumtangaza mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015.
Wawakilishi kutoka katika kampuni mbalimbalii zilizotoa udhamini katika shindano la kumsaka Mwanamitindo bora wa mkoa wa Kilimanjaro 2014/2015.
No comments:
Post a Comment