Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 31, 2012

MGOMO WA WAALIMU: WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WAANDAMANA...!

Wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa na bango lenye ujumbe mzito. hali hii ilitokea baada ya walimu kugoma kuingia madarasani kuwafundisha.

Wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa kwenye maandamano baada ya walimu kugoma kuingia madarasani kuwafundisha.

No comments:

Post a Comment