Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 27, 2012

HALI ILIVYOKUWA KWENYE TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012...!

Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego pichani kati mwenye kipaza sauti akisoma namba za washindi waliojinyakulia piki piki mbili zilizotolewa na kampuni ya Push Mobile,wa tatu kulia ni Meneja Masoko wa kampuni ya Push Mobile,Rugambo Rodney na mwisho kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga,na nyuma kabisa ni Mkurugenzi wa utafiti Clouds Media Group,Ruge Mutahaba pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti,Ephrahim Mafuru wakishuhudia tukio hilo usiku huu kwenye uwanja wa Mkwakwani ambako tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linafanyika.
 
Msanii kutoka THT, ajae kwa kasi katika anga ya muziki wa bongofleva aitwaye Rachel akiimba jukwaani usik
Nuru akiimba kwa manjonjo na shabiki wake jukwaani usiku wa fiesta.
Dj Zero kutoka Clouds FM akikamua ngoma 
 
 
Raisi wa Masharobaro Bob Junior akilitendea haki jukwaa la Fiesta..
CMB Prezzo kutoka Kenya ambaye ni muakilishi wa pili wa Big Brother Africa.
Mwana FA akiwatibu wakazi wa Tanga kwenye tamasha la fiesta
Shetta akiwa jukwaani akiwaburudisha mashabiki wake na nyimbo za kubembeleza.
 
Steve Nyerere & Shilole kazi ipo.......
Shilole & JB
FA & Linah ni Yalait au kunamengine??? LOL!
Wema,Aunt & Shilole....Mmmmmmh! Hapa sitii neno
Bhaaaasss! Adam mchuvu akitema cheche.        
Sehemu ya umati wa wakazi wa Tanga wakifuatilia kwa makini makamuzi ya Serengeti Fiesta 2012.

No comments:

Post a Comment