Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 27, 2012

Mpaka sasa Tanzania inadaiwa Tshs 14,400,000,000,000/=...!


Kiukweli sina hakika kama deni hili litalipika kwa jinsi ambavyo linazidi kuongezeka siku hadi siku. Nadhani ni ngumu hata mtu kuweza kusoma hizo tarakimu lakini hizo ni Trillion kumi na nne na nukta nne... yaani ukiiigawanya kwa idadi ya watanzania ni kwamba kila mtanzania anatakiwa kulipa Tshs 335,000/= Je kwa hali ya kipato cha watanzania walio wengi watamudu kulipa deni hili? Na je ni nini matokeo ya kushindwa kulilipa deni hili?

No comments:

Post a Comment