Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 24, 2012

Kibarua Kigumu Kwa Makarani Wa Sensa Hiki Hapa...!


Makarani na wasimamizi wa Sensa katika wilaya zenye jamii ya wafugaji wengi ikiwemo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya watakabiliwa na kibarua kigumu cha kulazimika kuingia katika mazizi ya mifugo kwa ajili ya kuhesabu ng'ombe na mbuzi, kutokana na baadhi ya wafugaji kutojua idadi ya mifugo yao. 
 

No comments:

Post a Comment