Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 24, 2012

MATONYA AFARIKI DUNIA,,,!
“Namtaarifu Komredi Yusufu Makamba, kuwa yule kiboko yake 'MATONYA' amefariki usiku wa kuamkia leo kijijini kwake Mpamantwa wilaya ya Bahi, mazishi yamefanyika leo saa 10 jioni kijijini hapo. Habari ziwafikie, Mkuu wa Wilaya Betty Mkwasa, Familia ya Mzee Makamba popote walipo, wakazi wa Dar na Morogoro pamoja na ndugu jamaa na marafiki wote. Bila ya kusahau wale wa eneo la Darajani Mjini Morogoro”

No comments:

Post a Comment