Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 3, 2012

MAJAMBAZI YAWAUA WALINZI KWA MAWE...!

Walinzi wawili wanaolinda kambi ya Mount Site iliyopo katika kijiji
cha Olmolog wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro wameuawa kwa kupigwa na mawe hadi kufa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.

 Akizungumza na uongozi wa blog ya kingjofa.blogspot.com hii leo Kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro Robert Boaz, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa usiku wa kuamkia leo watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia kambi hiyo na kuwafunga kamba walinzi hao na kuanza kuwapiga kwa kutumia mawe ambapo mwekezaji ni Lucas Edward mwenye umri wa miaka 46 raia wa uingereza.
 Kamanda Boaz amewataja walinzi hao kuwa ni Sadick Rashid mwenye umri wa miaka 35 na Dunia Said mwenye umri wa miaka 40.

No comments:

Post a Comment