Mikoa ambayo haijapata waandaaji baada ya maombi ya waliotuma kutokuwa
na sifa, hivyo wenye sifa wajitokeze kuomba kuandaa ni : Njombe, Pwani,
Lindi, Mtwara, Tanga Morogoro, Dodoma, Singida, Shinyanga, Simiyu,
Geita, Tabora, Rukwa, Kigoma, Kanda ya Kati, Kanda ya Mashariki,
Zanzibar, Kanda ya Kusini Nyanda ya Juu, Kanda ya Magharibi, ,Vyuo Vikuu
Kusini,Vyuo Vikuu kaskazini,Vyuo Vikuu Magharibi,Vyuo Vukuu Kati,na
Vyuo Vikuu.
Makampuni na watu wanaotaka kuandaa mashindano haya ya
Miss Utalii Tanzania wawasiliane nasi kupitia barua pepe ya
missutaliitanzania@gmail.com ,ukurasa wetu wa facebook wa miss
tourism/missutalii tanzania na au ofisi za vyombo mabalimbali za vyombo
vya habari. Fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania 2012, sasa
zitafanyika siku ya mkesha wa sherehe za uhuru 8/12/2012 baada ya
kuahitishwa kupisha utaratibu na kalenda mpya ambapo sasa kila mwaka
Fainali za taofa zitafanyika siku ya mkesha wa sherehe za uhuru. Mikoa
na kanda zote zinatakiwa kuwa zimekamilisha fainali zake kabla ya
Novemba 15 kila mwaka.
Asante.
No comments:
Post a Comment