Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, August 15, 2012

Simba B Yailaza Azam FC 2-1 kwenye michuano ya Bank ABC Super 8...!


Hiki ndio kikosi cha timu ya Simba B kilicho lipa kisasi kwa Azam FC leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, katika michuano ya Bank ABC Super8 inayoendelea hivi sasa . Simba imeibuka kidedea kwa 2-1 katika mchezo huo. 
 
       Kikosi cha Azam FC kilichoshindwa kufurukuta kwa Simba B.

No comments:

Post a Comment