Mnara wa kihistoria unaojulikana kama mnara wa mwenge uliopo mjini Arusha.
Mnara wa saa ulipo mjini Arusha maeneo ya posta.
Hili ni Jumba la mikutano la kimataifa (AICC)
Foloni ya magari kwenye taa za kuongoza magari (Traffic Light) zilizopo sanawari Arusha,
Gari zilizokuwa zimeharibika katika eneo la mto nduruma leo jioni.
Hii ni gari ambayo ipo eneo la soko la tengeru ikiuza simu kwe bei ya ofa.
Hii ni gari aina ya Hiace ya abiria ambayo inafanya safari zake kutokea Usa mpaka Arusha mjini, ilikuwa imepata ajali eneo la Makumira katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Habari zaidi kuhusu ajali hiyo bofya hapa http://kingjofa.blogspot.com/2012/09/picha-za-ajali-iliyotokea-leo-jioni.html
Hii ni gari aina ya Harrier ambayo ilitokea Arusha mjini ikielekea Usa, ikapasuka tairi ya mbele na kupata ajali eneo la Makumira katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Habari zaidi kuhusu ajili hiyo bofya hapa http://kingjofa.blogspot.com/2012/09/picha-za-ajali-iliyotokea-leo-jioni.html
Hili ni eneo la kikatiti ambapo ujenzi wa barabara unaendelea.
Hii ni ambayo ilitokea Moshi ikielekea Arusha, ikapata pancha tairi ya nyuma eneo la king'ori lakini dereva aliweza kutambua kuwa gari yake haiko sawa na alishuka na kuanza kubadilisha tairi.
Gari hii niliikuta maeneo ya barabara ya machame (machine tools) ikiwa inavutwa baada ya kupata ajali.
Hapa ni kwenye keep left cha Mosh to Arusha kilichopo mjini Moshi.
No comments:
Post a Comment