Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, September 20, 2012

RUFAA YA LEMA YASOGEZWA MBELE MPAKA OKTOBA 2-2012...

Godbless Lema akiwasili viwanja vya Mahakama Kuu Arusha kusikiliza rufaa yake.
Huu ni umati wa wakazi wa Arusha waliofika eneo la Mahakama Kuu kusikiliza rufaa hiyo.Gari ya Godbless Lema ikisukumwa na wafuasi wa CHADEMA kuelekea ofisi za Chama mkoani humo.


 Picha ya juu  ni Msafara wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema ukitokea mahakamani mkoani Arusha kuelekea ofisi za chama huku ukisindikizwa na umati wa wafuasi wa CHADEMA baada ya kuahirishwa kwa kesi inayomtuhumu. Hawa ni wafuasi wa CHADEMA waliokuwa wamevalia Tisheti za M4C huku mungine akiwa ameshona kanzu kabisa


 Lema akiongea a wananchi nje ya ofisi ya chama mara baada ya kutoka mahakamani

No comments:

Post a Comment