Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, September 13, 2012

SERIKALI YALISAFISHA BARAZA LA MITIHANI (NECTA)...!

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo ( kushoto) akitoa taarifa kwa umma kuhusu matokeo ya Kamati ya Uchunguzi wa malalamiko kuhusu matokeo ya mitihani ya kidato cha Sita wa somo la Islamic Knowledge mwaka 2012 leo jijini Dar es salaam, ambapo amesema makosa yalitokana na kasoro za kiutendaji na kiufundi na si vinginevyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Shule Marystella Wassena.

 (Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam).

No comments:

Post a Comment