Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, September 3, 2012

Viongozi wa nchi ambazo ni Wajumbe wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (TROIKA) wakutana Dar es salaam...!




Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama (Troika) ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) akimpokea  Rais Armando Guebuza wa Msumbiji baada ya kuwasili leo Septemba 3, 2012 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, tayari kwa mkutano wa Troika ya SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Septemba 4, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi wajumbe wa Asasi hiyo ambao ni Msumbiji ambao ni Mwenyekiti wa sasa wa SADC, Afrika Kusini aliyekuwa Mwenyekiti wa Asasi hiyo kabla ya Tanzania,  Namibia ambao ni Makamu Mwenyekiti wa Asasi hiyo ya Troika, pamoja na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao ni wageni waalikwa.

No comments:

Post a Comment